Browsing: Guides

Bitcoin ni mfumo wa malipo ya mtandaoni na jina la sarafu ya digitali. Malipo ya Bitcoin yanatumia tarakimu. Inawezekana kutuma na kupoeka Bitcoin bila kuhitaji msimamizi wa juu kama Benki Kuu. Kimsingi, Bitcoin ni aina mpya ya sarafu ambayo inaishi na ina mfumo mpya wa fedha. Sarafu hii inakuondolea haja ya waamuzi na wasimamizi wa fedha kama benki na serikali.